A day in the life of a truck driver

(Stolen)
Wake up at 4am to rush to quarry ya daruco only to find a trailer na four other truck’s infront of you and it’s 6am…na wanapandisha bei ya mawe kila siku.by the time wamepakia its already 11am…since hautaki kupatana na NTSA you decide to pass via kilimambogo (panya routes) by the time you get to kangundo rd you realise brakes are failing na unaenda kupanda mua hills…you decide to stop and have them fixed its now 2pm…boss calls akiuliza bado hujafika??unamwambia kuwa mpole…at 3pm your back on the road…unafika kenol unapata mchinese ameweka diversion now your forced to climb a hill off-road…as you are about to finish the hills gari inakataa ina anza kurudi nyuma lol watu wa matatu na personal wanakeep distance…gari inawekwa dunga na unaipumzisha then you talk with it unaiambia please maliza hii mlima all this time umeweka jam on that narrow road…few minutes later umemaliza mlima watu wa gari ndogo na matatu wanakupita wakihoot na salamu nyingi,unajiambia kwa roho wangejua tu…unafika site at 5pm…one hour later wewe huyo unarush kulala…unafika kwa nyumba 8pm…umechoka unaskia nikama ulikua umebaba hizo mawe na mgongo…you take a shower and head straight to bed…ready to face another day…akili nyingi nguvu kidogo…
[ATTACH=full]114890[/ATTACH] [ATTACH=full]114891[/ATTACH] [ATTACH=full]114892[/ATTACH] [ATTACH=full]114893[/ATTACH] [ATTACH=full]114894[/ATTACH] [ATTACH=full]114895[/ATTACH] [ATTACH=full]114896[/ATTACH]

Sasa weka ya turela.

[ATTACH=full]114899[/ATTACH]
@byro njoo hapa.
And when the going gets tough…
[ATTACH=full]114899[/ATTACH] [ATTACH=full]114900[/ATTACH]

Check KTN news now on ’ Trucks and Tricks,’ an expose on truckers

KTN meffi
Exposing sand trucks.
Media imekosa kazi siku hizi.
Why not expose where all aspirants got the cash they are using to oil their campaign machinery.
[ATTACH=full]114902[/ATTACH] [ATTACH=full]114903[/ATTACH] [ATTACH=full]114904[/ATTACH]
Do they know of the cartels who run the sand business and dictate the prices.
@Kasighau and @kingolonde can tell you about the sand mixed with soil hapo ‘lights’

Wachana na hawo wakora. Better get your materials from site and pay for transport.

Nipe bibi yako

Asande sana

@Meria Mata ndarugo huko mawe ya 6 ile ngumu wanakuuzia aje? Na uko na lorry gani FVZ or FSR? I can offer kukuuzia 25/= but uendee thika.

Mie sibebi mawe, i just came across a great story on the net which i shared. Lakini i know the tricks you guys use. Been there and done it

Najenga perimeter wall in August. Which tricks are these? Chanua mimi kiasi. :slight_smile:

Perimeter wall usitumie mawe ya ndarugo. Then ukiletewa mawe usilipe kwanza before you confirm how many feet have been delivered

But these guys get rich so fast. Hiyo kazi can be worth it.