A Kenya Defence Forces recruit crying like a baby during training.

thesavage

Village Sponsor
#12
Lazima tu ni instructor roho chafu, lakini tizi za kambi sio mchezo gathee
Kama umepitia jeshi respect. Respect.

Nikiwa kijana nilipomea makende nikabishana mama mzazi mzae kunirusha boot camp huko loitoktok. Nilifika nimechelewa tumesimama hivi nisharushwa kwa shimo ya maji ya tope. Nilinyolewa nikafurahi. Tope kwa nywele si poa. Kukimbia na hako karucksack bana, kanachimba bega halafu ndio unashtukia ni karefu kanakufinya kichwa hapo kisogo, vitu hausikiangi ukitembea. Mpaka kutoka kwenda mita mia moja unaona kama ni kutoka Nairobi kwenda Mombasa na mguu! Nasikianga hiyo camp bado iko huko taita.
 

Kenny Matt

Village Elder
#19
This is not uncommon in disciplined forces training. Some find the going too tough and the most instructors are not friendly either, ni kama hulipiza walivyofanywa wakiwa kurudi pia. But ukianza training ya uaskari kurutu huambiwa ki2 moja: Asibembeleze mbili ,sababu mwili ni wa Serikali.
 

Top