A Kenya Defence Forces recruit crying like a baby during training.

https://www.youtube.com/watch?v=idUrHCeLRsE

alshaba propaganda

Huyo amechapwa. Look closely the guys in tracksuits are carrying sticks. What are they for? Pointing directions?

akianza job bado tu dame atakula fare yake

Hiyo backpack imejazwa sand

homosexual eunuch @imei2012 amekamua kurutu mkia:D

HAwa ni wale wa kupatiana hongo eti wachukuliwe kwa jeshi.

Kuondoa urahia. Lakini nani anatoanga hizi video za kurutu wakicomb kichaka. Nkt. Wajinga kabisa.

Hii tuliona kabla Uwesmake akue busaa addict

Lazima tu ni instructor roho chafu, lakini tizi za kambi sio mchezo gathee

A common sighting in the villages neighbouring RTS in Eldoret.

Kama umepitia jeshi respect. Respect.

Nikiwa kijana nilipomea makende nikabishana mama mzazi mzae kunirusha boot camp huko loitoktok. Nilifika nimechelewa tumesimama hivi nisharushwa kwa shimo ya maji ya tope. Nilinyolewa nikafurahi. Tope kwa nywele si poa. Kukimbia na hako karucksack bana, kanachimba bega halafu ndio unashtukia ni karefu kanakufinya kichwa hapo kisogo, vitu hausikiangi ukitembea. Mpaka kutoka kwenda mita mia moja unaona kama ni kutoka Nairobi kwenda Mombasa na mguu! Nasikianga hiyo camp bado iko huko taita.

hii video niliona 1998

@pamba E- instructor
abusing his charges na mijeledi halaf anajifanya.
That kurutu is crying not because of pain, but because he is helpless. He can’t hit back. Anadhulumiwa

Kwani kenya kuna private boot camps?

Vitu zingine siwezi fanya. Wacha ikae.

Kamagut, kwa akina aRuto de.

:D:D:D:D Physical training instructor sio nyanyako…

This is not uncommon in disciplined forces training. Some find the going too tough and the most instructors are not friendly either, ni kama hulipiza walivyofanywa wakiwa kurudi pia. But ukianza training ya uaskari kurutu huambiwa ki2 moja: Asibembeleze mbili ,sababu mwili ni wa Serikali.