A.O.B. Tuesday 20th August, 2019.

upepo

Village Elder
#1
How come a majority of Kenyans abroad today ni mizigo kwa ulimwengu.Before the 90s the situation used to be the other way round.Watu wa hizo enzi walikuwa wanafanya maajabu huko ng'ambo, kama ku-redline grading system ya shule. Could this be another manifestation of our corroded value system? Mtu kama Patco anafaa kuwa pale ndarugo aki-broker mawe, ile ingine ya berlin inafaa kuwa makanga ya stage za Kayole, na kabuda anafaa kuwa kamagira wa Embassava. Kuna siku kale kajamaa ka paybill kali-raise hii topic lakini kakakunja mkia kaka-delete. I hope leo sio turn yangu. Leteni maoni bila matusi.
 
Last edited:

Motokubwa

Village Elder
#2
How come a majority of Kenyans abroad today ni mizigo kwa ulimwengu.Before the 90s the situation used to be the other way round.Watu wa hizo enzi walikuwa wanafanya maajabu huko ng'ambo, kama ku-redline grading system ya shule. Could this be another manifestation of our corroded value system? Mtu kama Patco anafaa kuwa pale ndarugo aki-broker mawe, ile ingine ya berlin inafaa kuwa makanga ya stage za Kayole, na kabuda anafaa kuwa kamagira wa Embassava. Kuna siku kale kajamaa ka paybill kali-raise hii topic lakini kakakunja mkia kaka-delete. Leteni maoni bila matusi.
shosho anafaa awe maid ama malaya pale karumaindo ,nayo jaluo swanschieth yafaa iwe welder hapa kawangware
 

Join the top dating website in kenya today!
Top