[ATTACH=full]177970[/ATTACH]
bado sijaelewa…
Msiba wa dada yake Tundu Lissu, jiwe na mke wake, naibu speaker Tulia, na mungu wa Dar amevaa koti ha kahawia.
Duh
kweli 1000 words
Inafikirisha!
Hmm!..
Vp hizo tarehe?
Kaburi limefukuliwa mahali.
Tusema alienda kuomba msamaha?
Ilikuwa kabla ya wasiojulikana kumpiga rusasi mheshimiwa Lissu.
WAnafique