Hii kitu inaitwa Rambo Resources ni nini?
wewe ni ile mjamaa Wa pipeline alikuwa anauza simu?
Ndio hiyo ameshika
[ATTACH=full]126987[/ATTACH]
6 Likes
We ni @kurutu sana
Ni
Ni vitu kama njeki, spare wheel, kaburaita, etc za hile ngari inaitwa Lamborghini.
Rambo apart from the movie najua tu Rambo kanambo
wacha niulize dj Afro nakam