Aaaaand we are back...

Status
Not open for further replies.
#1
Hawayuuni wanakijiji.

Muriegaini; mbiyoreini; idhinade-ini; mulembe-ini; chamgei-ini; na kadhalikaini. Hayawi hayawi, mwishowe yamekuwa. Kwa wale ambao wako na dual-citizenship, ama ukipenda wanakijiji wenzetu ambao wako katika hii dayaspora, ni kuwaarifu tu kwamba tunarudi hewani hapo kesho saa moja alfajr masaa ya Afrika Mashariki. Ile notisi ya ‘we are coming soon’ bado ipo, ila ni kwa sababu tunafanya majaribio kem kem kuhakikisha kuwa kila kitu iko timaam, kabla ya kulaunch kwa mara nyingine tena.

Ili tusije tukapotezeana muda bure tafazarini watu wa kudeclare damu status mara kwa mara, tumewasikia - hakuna haja ya kurudia. Watu wa kusema nimehama/ninabaki, haina haja. Ongea kwa vitendo

Mwisho ni kwamba tunatafuta modareta. Preferred candidate ni yeyote ambaye ako na good communication skills, and social media presence. No Cv required. Kazi itakuwa ni kumoderate forum, handling our PR, na maintaining/updating our social media platforms. Wasiliana nasi kupitia barua pepe, admin@kenyagen.com kwa walio interested

Ni hayo tu kwa sasa, shuqraniini, na muwe na jioni njema
 

kush yule mnono

Retired Hekaya Master
#9
Is this the only place you majamaas can recruit members from? Why is it that kibaya kinajitembeza hapa, if your villages are good you don't have to plead with members here to come join you, wacheni tujilete wenyewe. Ni hayo tu
 
Status
Not open for further replies.

Top