Aaaaand we are back...

Hawayuuni wanakijiji.

Muriegaini; mbiyoreini; idhinade-ini; mulembe-ini; chamgei-ini; na kadhalikaini. Hayawi hayawi, mwishowe yamekuwa. Kwa wale ambao wako na dual-citizenship, ama ukipenda wanakijiji wenzetu ambao wako katika hii dayaspora, ni kuwaarifu tu kwamba tunarudi hewani hapo kesho saa moja alfajr masaa ya Afrika Mashariki. Ile notisi ya ‘we are coming soon’ bado ipo, ila ni kwa sababu tunafanya majaribio kem kem kuhakikisha kuwa kila kitu iko timaam, kabla ya kulaunch kwa mara nyingine tena.

Ili tusije tukapotezeana muda bure tafazarini watu wa kudeclare damu status mara kwa mara, tumewasikia - hakuna haja ya kurudia. Watu wa kusema nimehama/ninabaki, haina haja. Ongea kwa vitendo

Mwisho ni kwamba tunatafuta modareta. Preferred candidate ni yeyote ambaye ako na good communication skills, and social media presence. No Cv required. Kazi itakuwa ni kumoderate forum, handling our PR, na maintaining/updating our social media platforms. Wasiliana nasi kupitia barua pepe, [email protected] kwa walio interested

Ni hayo tu kwa sasa, shuqraniini, na muwe na jioni njema

well, good luck with that…

1 Like

http://www.kenyanstalking.com/ pia tuko tunawangoja wanakijiji.Moderator positions are still open, this will be the next thing.

Mimi ndio marketing mod KENYAGEN. DEORRO we are giving u the IT mod kuja.

iko XXX?

Mnalipa mangapi?

The fallout from the religious intolerance in this village begins…sasa wacha the one they call paa twendi sefen abaki na mods n admin…

Huoni email address umewekewa hapo juu. But wewe naona hauna good communication skills. Huwesmake

Is this the only place you majamaas can recruit members from? Why is it that kibaya kinajitembeza hapa, if your villages are good you don’t have to plead with members here to come join you, wacheni tujilete wenyewe. Ni hayo tu

1 Like

Village elder imekuwaje tena?