We, naulizaje, madame wakale wanapendaga rangi gani sana saaaana stereo-typically ? Nafanyia ka-dame flani hapa corporate branding na nataka nitume samples bila kuuliza maswali mingi ndo nikae ni kama tunacommunicate on a higher level. Nishacheki ofisi yake bado iko flat hajaeka vitu za kussugest prefferences. Ni furniture tu za offisi rangi ya mbao kawaida zimejaa left right. Who knows, hii kunyambis naeza nyandua nyandu nyandu. Os kof after ashalipia kazi. Huko kwengine ntajisaidia. Kanakuom vizuri sana na vicheko mingi tu yani.
Meanwhile acha ntaangalia video kadhaa za Emmy Kosgei nikimaliza hii
Mimi niliambiwa ati kigongi ya mkikuyu haiwezi fanya kazi vizuri juu hatukulangi murenda…i hear it looks like mucus.
Ati sisi hatuna nguvu za kurarua kinyamu hadi itoke moshi.
My fren kuna Wakikuyu from Molo ukielekea Olenguruone mahali kunaitwa Kamwaura, alafu wengine huku mau summit kuenda londiani. Wanaingizaga mahindi kwa mdomo left, msogoro (cob) bila hindi ata moja inatokea right. Sioni kama hio stereotype inaapply kwao.