Accident alert: chulu

Both truck drivers RIP
[ATTACH=full]98311[/ATTACH] [ATTACH=full]98312[/ATTACH]

Season ya accident imeanza mapema sana… normally july/August ndio fatal accident huwa nyingi…mungu saidia

hii reli iishe tupunguze risk

is it me ama hizi accidents zimezidi??

May they rest in peace

In other related news, a bus belonging to Climax Bus Co and a trailer were collided headon around Mbaruk area of Naikuru Cownty early this morning.

damn

Accidents hufanyika kila siku, ni vile tu siku hizi kila mtu ako na camera

Bukusu GMO niaje?

poa sana Tero Buru tunaona pig sty iko imara kwa avatar

Hii Simba yangu ita dumu kudumu

lakini kwani ulipitwa na last mile project. wachana na koroboi my fren

Baba alisema tukatae vitu za jubilee, mwenye anakaa nyumba za Nyasi hatakiwi awe na Stima and you know baba is always right

hehehe hapo sawa kabisaa

@isabella is a lucky woman to have you

Mi huona Shahid Buttface(RIF: Rest in Feaces) angekua hai, angefanya collabo na Warabu wenzake na Alshaitan wadengue ngali ya syoki.

Hii hapa
Spot unco @pamba
Yeye ni mchoyo na mbisha

Ehe. Ndio hiyo. Huyo mwenye kupiga picha alipita hapo around the same time na mimi.

Another fatal accident at hot water (Mai mahiu) saloon sandwiched between FH and truck, sadly deree na passenger wako RIP.
[ATTACH=full]98328[/ATTACH]
Kama unaelekea huko find an alternative route

shait! what the hell happened here?

A very sombre thread but still… @introvert hebu ngurumisha Tata