Accident Alert: Kenya ua

another kenya mpya accident just before juja city mall outbound…
[ATTACH=full]255220[/ATTACH]
[ATTACH=full]255222[/ATTACH]
[ATTACH=full]255223[/ATTACH]

[ATTACH=full]255226[/ATTACH]

[ATTACH=full]255227[/ATTACH]

[ATTACH=full]255228[/ATTACH]

[ATTACH=full]255229[/ATTACH]

[ATTACH=full]255230[/ATTACH]

[ATTACH=full]255231[/ATTACH]

hiyo picha ya kwanza iko na mixed reaction…[SIZE=2]sijui niangalie kunyi au accident scene[ATTACH=full]255232[/ATTACH][/SIZE]

The woman in green has a very nice ass

Tulihamia Super Metro, very well-driven and courteous staff, Kenya Ua wamekua na kiburi sana ghasia takataka

and why do people still board,is it because they are super cheap au compeh haitoshi

Hii inakaa Neo Kenya sio Kenya Mpya. Neo Kenya ni zile hukaa hookers wa River road. Kenya Mpya huwa chonjo kiasi.

Wazee hatupendi kelele mingi kwa gari.

Ni joy Kenya lakini wathii huita zote Kenya Mpya

kuna ile watu ya subcounty flani wanshindwa na lorry ya mukate,hawaamini inaeza bebwa mingi hivyo

Village elder chill bana …its an accident

No they are not cheap. Super Metro wametakeover the Juja-CBD route completely but Thika-Cbd ni ngumu koz ndio homeground ya Neo KenyaMpya/Joy KenyaMpya, plus watu wa thika hawajazoea kuenda all the way to Moi Avenue kupanda mat so they lose out on customers who cant stand walking that much.

that is why people are buying their own cars

service skipped severally …lazima breaks zilijam !

:smiley: :smiley: tukuwe considerate

:D:DPole mdau…sii mimi mbaya ni macho

Neo Kenya/ Kenya mpya/ joy Kenya are one and the same thing. They started having different names after all vehicles of a certain Sacco were banned after one of their vehicles was involved in a saga. Ilianza ikiwa Kenya mpya(ua).