Accident Alert: Kiboswa

accident along kiboswa to kisumu road at Riat college junction,a molasses trailer crushed on a parked matatu operating Nyahera road,
[ATTACH=full]185318[/ATTACH]
[ATTACH=full]185319[/ATTACH]
[ATTACH=full]185321[/ATTACH]
kiuliso tu, hii molasses wanachota wanaenda tumia na nini?

cham brewery

Most likely matatu was dropping or carrying passengers on the road , molasses inaenda Kwa jaggery na pia ni chakula ya ngombe .

parked on the road?

Section 55(1)

These kind of accidents happen along this road weekly. Kama sio trela ya mafuta ni ya miwa. Leo ni ya molasses.

[ATTACH=full]185357[/ATTACH]

Unaenda Kando ya mto. Unaeka Drum pande moja, unamwaga ndani molasses na kufunika. Weka pipe kutokea juu ikiwa sealed, pitishia pipe kwa maji ya mto kuja hii pande ingine. Weka moto mingi chini ya Darraaam ichemke ikisteamisha hio molasses alafu maji baridi ya mto inafanya steam inakua liquid ukiichotelea hio pande ingine. Ukikunywa hio liquid unaona yesu livelive. Distilled Kong’o mar molasses ber my fren

aaaaaah, mambo na chemistry, ehe, end product Machozi ya simba.
na kaa huna molasses how do you make changaa na sukari guru hutoka wapi?

Chang’aa itakunyuo hiyo kijiji raw material ya feree ni mingi!

Dabo m kwani hapo libra kumeendaje manze lori inaisha ivo

MMN,confirm this too.[ATTACH=full]185401[/ATTACH][ATTACH=full]185402[/ATTACH][ATTACH=full]185403[/ATTACH]

ile chang’aa itapikwa huko, that village will be stoned into the next dimension
[ATTACH=full]185418[/ATTACH]

Shupit driver was taking a short cut

Back in the year 2015, Kuna time fulanu there was a heavy downpour and for some unexplainable reason some chap drove into a trench Kama hiyo mat hapo. What followed is still stuck in my mind to date. So some fellas 4 to be precise from that side of the world, walinunua kamba za makonge na kufunga viuno ati wavute ile gari. To be honest gari yenyewe ilikuwa inasonga kiasi, but I must say it was one of the dumbest thing niliwai on coz they spent more than two hours hapo nje ya Derfla. Ilifika matime nikalewa hata sikujua Kama walisucceed or not, but sikuona ile gari.