Accident Alert: Mai Mahiu

[ATTACH=full]78287[/ATTACH] [ATTACH=full]78288[/ATTACH] [ATTACH=full]78289[/ATTACH] [ATTACH=full]78290[/ATTACH]
major trafic jam both ways.

1 Like

Yaani hii ni barabara moja yenye expansion ya climbing lane ilikataliwa hata na wa Chinese ama?

Hii mahi mahui ni nini mbaya hapa? May people die everyday?

:eek::eek::eek::eek::eek::eek:

1 Like

Meant must people die often. …sorry was slide texting on keyboard

Hii barabara tangu tutokelewe na lori iki’overtake kwa mteremko sijawai ipitia tena

vipi MM, kuna accident kibarani. any update?

Hawa watu wana magari kutoka KCH wana ufala sana.

Twas around saa saba
[ATTACH=full]78295[/ATTACH]

1 Like

Casualties??

We should ask any survivors

2 Likes

Kweli.

2 Likes

maybe the majority of KCH/KCJ guys are new drivers. some tend not to know when not to press gas.

Fixed

1 Like

Ata mimi moja ilianza kuovertake kwa bridge na ata ikiniona haitoki,sijawai rudi hiyo barabara tena

2 Likes

Hapa kama kawaida unaweza kuta dereva wa Lorry alijifanya kichwa ngumu

Mahi Mahui???
Dyslexic much.

White black man I was referring to earlier

Earlier when? Am not logged on here 24/7.I got work to do.
Weka link.

…Kuna ingine imefanyika hapo Gitaru around 5pm,
A number 130 mat ikitoka Limuru on that road yenye trucks hutumia to join the bypass at the junction.

The driver overlapped, next brake failure, ikagonga those bumps… it’s as if they actually add momentum… passengers started screaming, the driver thought of swerving towards Kikuyu… Baaaaas, the matatu literally flew towards some boda guys who park around there… imegonga gabions Fulani hapo weeue