Accident Alert: Mtito

[ATTACH=full]150321[/ATTACH]
Somethings you just can’t explain, gd thing ni eti trucks from big companies don’t have turnboys.

:eek:Wueh!!

What cant you explain

I seriously hope this time round it is not your legendary mediocrity

noma

Noma nini

Hao ni wale turnboy upewa squadi

Driver was sleeping, woke up at the last minute and swerved hard akiingia nyuma ya container na side ya turn boy

Kama ushawahi kuwa dere wa lorry huezi pea turnboy squadi…unamwachia wakati unasikia usingizi…that is suicide!!

Bado pia iyo ni squadi. Kazi ya turnboy ni kusaidia dere vitu ndogo ndogo na mech works kiasi apana kuendesha turrera wakati durefa amelala

Your hurting mcoosh is making you very irritable.

Pole kwake.

Iyo ni sawa…lakini squadi za kupea turnboy na dere anabaki Emali ama Sultan Hamud akikula mizoga ya kikamba ni nuksi…usiwahi jaribu hiyo!!!

without even gone to driving school,my first car to drive was a lorry. Nilikua nateremka nayo from Mtito adi mbs

yaani he was sleeping, literally?

The only logical explanation,

This is very common on A101…especially early morning more so wakiteremka to MSA baada ya kuoffload mzigo, from the photo the silhouette skyline shows ni asubuhi …i once avoided a head on collision nikitoka Mariakani ngware nikielekea border na msee alitoka kwa barabara hivyo tu akaingia kwa kichaka…