Accident Alert: Thika road Again

Bus overturns at Total Survey
Couldn’t get a good picture
[ATTACH=full]244224[/ATTACH]

Wacha nikusaidie picha kaka.
[ATTACH=full]244239[/ATTACH][ATTACH=full]244240[/ATTACH]

jana (leo) kuna mtu alikufa karibu the same spot at around 1:00 am usiku. Jamaa akili zilitapakaa across the road. The head was smashed in. Died on the spot. His car had stalled hapo karibu na Utalii yeye aligongwa na another motorist. I had to park my car for like 30 minutes nijionee. Niko na mbisha but hizo memories sizihitaji saa hii. This road has a curse of its own

Uncle nyam kuibiwa kura baba ilikubadilisha hadi handle, you had to park your German engine for 30 minutes just to see that accident scenario, hata kusaidia kuweka life savers hukuweka?

Hii bus ime overturn Kwa service road ? If other road users were given a day to take action most of the Probox muguka drivers and matatu would be dead within an hour.

On that road at that time alot of drunks on the road, hio barabara if you are coming to nairobi it is a guarantee you will find several accidents on the road

How kind.

I took time to understand the word ‘akili’ from your post. That means ubongo si akili

At first, I thought nawesa saidia. Only to realize the jamaa was dead. The rest of the time was spent piecing info that seemed not to make sense. The diseased was approximately 28yrs old. Such a young soul. I felt like a parent to him. RIP

Was it coz of drunk driving ama ni accident tu ya kawa?

Coming from someone with no akili,We fully understand you

The motorist mwenye alimgonga (KCR) alipo-ona what he has done alikimbia on foot towards the direction of Mathare hospital. I think aliona karao wakimpata amekunywa itakuwa case closed. Probably leo amejisalimisha kwa polisi after kukuwa sober.

[ATTACH=full]244304[/ATTACH]

Damn

The road is not cursed, its our stupid actions as drivers that cause these accidents. Kuna manugu hata hureverse kwa highway when they miss an exit. Not to mention that most of our vehicles are not roadworthy.

I think I know the deceased

But pia kuna kashida pia sisi kama wakenya tuko nako.
You find sometimes if a vehicle breaks down on the road we do less to avert such accidents.
We don’t have those triangular reflectors(zinaitwaje kwa kimombo),and if we have them we put them only 2 mtrs away from the stalled vehicle.That doesn’t help much the oncoming vehicle.
The guy pengine hakuwa ameweka any

You are right

They say once you are out of your mothers nest without enough wisdom and brains,the world have no time for you.Thika rd aint bad,users ndio shida.

I once had a puncture hapo thika road.

First thing- nikaweka life saver (car warning triangle) like 30 meters from my car. Hata kabla nirudi kwa gari lifesaver ilikuwa imepeperushwa mpaka the next lane na upepo za magari. So nikatafuta mawe (Goodluck finding stones on thika road!!) ndio niweke structural stability. Bado ikapeperushwa. Ilibidi nimeweka mawe kama tano. ndio lifesaver iwe stable.

The language wakenya wanaelewa ni matawi…eveerybody respects matawi ya green kwa barabara. Problem ni on thika road you need to have a tout wa kukutafutia matawi 5kms away.

Second. The punctured tire was on the left side, so haga iko kwa njia ukibadilisha tire… upepo ya magari inakupiga hadi inaingia kwa makei. Inabidi ukae ukiangalia kama life saver bado Iko ama imepitiwa nayo coz you’ll be next. Btw hata hio life saver ikiwa kuna jamaa anadrive dangerously close ndio akuweke baridi.

Third. Kwa sababu ilikuwa immediately after Githurai before ufike kahawa. Some boda boda guys had already come around kuona kama nitawa-wachia kakitu. Saa hio boot umefungua, dirisha ya mbele iko lowered na watu ni kama watano hivi - shiny eye zinakaa zikiangalia ndani ya gari. Zinakaa zikiuliza - maximum speed ya hii gari ni ngapi?? Finally nikaona niwawache wabadilishe tire halafu mimi nichunge valuables.

By the time I was done my heart rate ilikuwa 115 BpM.

The next time I had a puncture hapo on the same road niliendesha on rims hadi nikaingia service lane kwa stage. Then later, I did the wise thing, downgraded from low profile tires, swapped the rims to smaller ones na nikaweka tire nono kabisa + tire sealant fluid. Haven’t had a puncture since.

Hio thika road, even if you do everything right, it takes a guy who is chatting on the phone while cruising at 110km/hr to take you down.

There are some parts of the highway unaambiangwa gari ikispoil do not stay inside ju kuna gari itakulima ikifikiria you are still moving. Especially kwa pale chini kwa mteremko mchana