Accident alert

Ni Binadamu ako na mwili ngumu ama ni gari za siku hizi meffi
[ATTACH=full]38844[/ATTACH]
hii imepita na jamaa hapo msa road

angalia mwingie hapa,
[ATTACH=full]38845[/ATTACH] [ATTACH=full]38846[/ATTACH]
this is in roysambu

hehe
surely

matokea ya kuona Fast & Furios saana

2 Likes

Hii ni kichwa ngumu, si mwili

I have a photo of a truck that hit a Masaai guy along Nairobi Narok Rd. You would not believe it. The human body ni kitu ngumu tu sana.

Weka mboto

movie zinachocha watu

:D:D:D:D:D:DMANDAWUO HUWA NI MACHUMA