Acha Ibaki stori

kwido

Village Elder
#7
Sasa airtel calls ni free ama? Seems u will be calling only guys on airtel.
Ujinga mtupu huu! Yaani mwanasiasa amesema msususie bidhaa na huduma fulani, wewe ndo huyooo! Wakimbia kususia bila kujiuliza maswali ya kimsingi......Sasa wacha nikupe taarifa, kampuni za kusambaza umeme na maji zimemilikiwa na serikali tukufu, Sasa basi nendeni msusie hizo huduma muhimu pia. Hiyo ingine yote ni kelele na umeffi!
 
#8

Mbwa.
 
Freestyle

Village Elder
#11
Hata usitumie pesa coz iko na Image ya Kenyatta na usitumie barabara pia coz imeundwa na gava , hata choo usiende , sewage system ni ya gava. na gari usifuel.
 
mikel

Village Sponsor
#16
What surprises me is that people are only migrating now, explains why safaricom has been stealing from people...impunity. My safaricom line is strictly for mpesa and am not going to change that, rest i use my orange line.
 
Mathaais

Village Chief
#20
SAFARICON watunyanyasaa sanaa lets embrace this revolution
I don't like Safaricom and never have, data theft and airtime dissappearing coupled with high data charges makes many use Safaricom minimally only that I don't and can never agree with the reasons for this boycott.
If you are defeated in an election enda kalisha makende nyumbani and not attempting to bring the whole country down with you.
 
Top