ADDICTION.......

Following Pamba’s ordeal…yule msee aliacha fegi and/or acohoo dry fry alete story hapa. Nataka Kusare hii lifestyle lakini inafikaga 6 jioni naskia pombe Na fegi zikiniita.

7 Likes

Wewe maliza share yako ,meffi

4 Likes

Tangi yangu iko karibu kujaa. Its time to move on. Will power ndio shida wama ants

1 Like

Usini associate na hiyo meffi

1 Like

It isn’t over till the fat lady sings .
Question.
Who’s your fat lady how do you identify her?

1 Like

Hata mimi nimeshindwa kuacha fegi but pombe nilimalizana nayo Ewe Mungu nisaidie.

4 Likes

I smoked for 7 years average of a pack a day. Would stop kiasi niki enda pub back to sq 1. One good morning nika sema quota yangu imeisha. Even the ones I had nikatupa. Wd go to the pub and buy kawa pack even bum one but not light up. Wd give them to any smoker. Long story short never lit up. Huwa naona hizo tu jela smokers wamejengewa najishukuru. Hoping pia nimalizane na drum yangu ya fobe soonest !

7 Likes

I thought ulidiscard fobe last year when you talked of the same na ukaokoka? @Mzee mzima uliacha kiraiku?

1 Like

Substitute ya fobe fegi ni fangi

Niliacha two weeks nikaanza Ku sweti. Nikikula poko ama poko ameze njoti after cumming mouth anasema jasho yangu au njoti iko too salty. Nikarudia

2 Likes

Bado sijawacha but skuizi ni mostly two ikienda sana three ciggs a day

1 Like

Ile time itafika useme unataka kuacha kapsa na nguvu zako zote na hutawai rudia, jaribu nicotine patches zitasaidia sana. Mimi hutumia kama food, one in the morning, around lunch and before I sleep. Nikikaa the whole day kisha ifike six jioni, I feel some type of way kwa koo plus craving mwenda and since I don’t have much to distract me at that time, I smoke it. Nicotine patches ni mzuri because when you put them on, hio craving inaisha since zinakupatia the nicotine. Polepole you go reducing the amount of nicotine patches adi time utaacha.

3 Likes

Sasa out, nyama, maboyz ivi itakuaje?

Fegi Mimi uchoma only wakati nawasha tei

2 Likes

My elder brother is a heavy smoker and growing up I aped his every move.
One day my sister (God bless her soul) found me and told me if I ever lit up again she’d kill me. That was it…cold turkey.
WD40 I only take in moderation…and in the company of the Shepparts.

10 Likes

Target identified, egg shells on someone’s pants in 4, 3, 2, 1

2 Likes

Usi jaribu derailment, toa hio comment.

1 Like

Stinky mouths thread alert!!!..

10 Likes

Fegi sijawahi kuwa addict…all my life I have smoked less than 2 cigarettes na ni zile za kujichocha nikiwa campus…never liked the feeling. Shida yangu ni pombe…I have been a drinker for over 5 years…but I am not addicted. Uzuri wa pombe is that it depends on the budget. Nikiwa msoto I dont drink…msoto means broke, not poor. So nikitaka kupunguza ulevi huwa nahakikisha I have no idle cash lying around. I am more likely to drink and have a crazy night on a day deal imejipa…before I invest all the cash…otherwise zitaenda bar.

1 Like

Zinapatikana wapi?been trying to quit in vain… sometimes i even spit blood… been a chain smoker for around 8 yrs doing a pack per day