Admean Saidia Watanzania, wako saidi mbaya kabsaaa

On Jamii forums, they used to have East Africa (Kenya, Uganda) sections with subcategories specifically designed for people from those regions.
Tafasari admean, create a sub-Ktalk kama hio ya Mashariki-East where these people can speak their viswahili sanifu wasichanganye hizo viswahili zao na njagara njagara zao kwa threads zetu. Nimeona kuna jeshi la wananchi la Jamhuri ya Jamii forum limeanza ku-accumulate hapa. Pia waganda washaanza kulipishwa kutumia Whatsapp naona blogging na forums wakikanyagiwa pia. Wapewe sub-k-talk kabla watuambukize hizo viswahili zao sauti mbaya. Tafasari. Si unajua hizi vitu we enjoy, only us wenye tuko hapa kwa the cradle of “at-least” governance, democracy, capitalismo, nullifikeshens and all kind of “at-least” things ? saidia wasiojiweza.
Since hawaezi rusha mawe wakikaliwa, kama yours truly…tuwasaidie tu wakalishe huo ujasiri wao mitandaoni.
Mashariki hoyeee

[ATTACH=full]175271[/ATTACH]
FYI, watanzania no hard feelings itabidi muelewe tu. hapa 254 ni tough love, Ndo maana Love song zetu zinakaa hivi


https://www.youtube.com/watch?v=-OFwslWFnPg

What has happened to jamii forums?

Unajua kahawa ya admin imeiva… ile traffic atapata… Admin ataongeza fleet yake ya Toyota kwa parking.

upuss. on ktalk we are one family with members from Georgia to Germany. the more diverse the better the experience!

Wait till you meet Bulgarians and Romanians

They are busy looking for a business permit sijui license ama city council receipt to operate. Maybe their govt will want members to verify their accounts using registered phone numbers next. Serkaal yao imewawesa

what will happen?

We’ll have to get an interpreter,juu ya matusi

TAFASARI=TAFADHALI

The thing here is, tunajua. But we chose to disrespect. because we can.
Shika User’s manual (Ktalk Lexicon): https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/ktalk-lexicon.23435/

Itabidi umeeelewa lingua franca ya kenyatalk.

Work permit lazima !

:D:D:D

Ukianza kukosoa kila kitu utachoka, huu ni utani wa lugha kwa wakenya mkuu, get with the flow na usome ktalk lexicon.

I agree with you,the more the merrier but I pity them for the cultural shock ,huko kwao admin walikuwa akimoderate matusi,huku tunatusi admin for the fun of it,and when they think they have settled in,bingwa shows up.

:D:D:D:D
Watanzania mkiliona hilo jina…Bingwa…torokeni bila kuangalia nyuma na msiulize mbona.

Meffi.

Its not easy to intergrate…it’s a process.let the guys have their own sub forum in the mean time.
Its like me going to Russia,it’s not bad being there but it would feel safer if i found a Kamau dip in the city of Soskotov selling mutura’s,doesn’t mean i have hate for my newly met friend Dimtry,its the idea of familiarity. YOU DIG Gashui?

@ranjeet likes this.

Sawa Bro, Watu wa East Africa tusaidiane hivyo kiundugu tukuze kiswahili na kupata maendeleo. Cheers from Dar es Salaam