Bw
@bjurmann tulia mjamaa. Hii kijiji iko na kila aina ya watu. Sasa ukisema threads ya military itolewe
@pamba pia aseme threads za karau zitolewe
@Gio pia aseme thread za mashakura, uongo na cheki maneno zitolewe
@snapdragon nayeye aseme threads za wizi zitolewe
@Meria Mata nayeye aseme threads za hekaya zitolewe
@Elgin nayeye aseme threads za walimu zitolewe
Si kijiji itabaki tu admean akijichapia story?
It's never that serious my fren.