This is kinda scary, THE TRUTH IS FOLLOWING YOU. Hii ni nini sasa?
[ATTACH=full]7926[/ATTACH]
unafwatwa na ukweli
This guy is a weirdo, how do i stop him?
[ATTACH=full]7927[/ATTACH]
Haha. Let me see who’s stalking me …
@ol monk na wenzako. how do we stop this carracters from following us?
aki ya nani hadi mimi ati nimekumiss tangu klost sijui ipotee :mad:
[ATTACH=full]7933[/ATTACH]
:eek:
Kuna watu watatombwa kunyi very soon
Maybe @The truth is just an innocent FTA fan
Hard to believe.
he he he
mnanionea sana,kwani nimekuwa Biwott wa huku hata mtu akikosana na bibi yake ni wakanyama?
Mtu anakuonyesha mapenzi halafu una complain
huezi kutana na mtu kwa barabara alafu unaanza kumuonyesha mapenzi mbio mbio, lazima tuwe tunajuana kutoka mahali ama in this case nimemuona ktalk huyo lazima alikua she-male
@The truth kuja hapa ujitetee kwa nini unafwatafwata watu?
Those are contingent handles. Just in case @Deorro pulls an uwesmake on you.
Dirty laundry za inbox! Haya, nimevuta stool…
Ahhhem! i see!