Toa hio banner I demand. Na sauti ya Kethi.
Install adblock
Mbona sina hiyo banner? I just closed it earlier na haijaruidi
2 Likes
there’s a small X at the end you just click it and it goes away…
1 Like
Weren’t you overjoyed a minute ago because Obama has touched down? What happened?
2 Likes
Just click the x kando yake. Hiyo yake haitaitoa
Nimeclick iyo x. You should too
halafu@Admin hizo meaningless words zote ni za nini? ati " would like to take this opportunity…" blah bla bleh kwani wewe ni speechwriter wa chief wa Kimende? si ungeandika “Kenyatalk welcomes Barrack Obama…”
Sasa banner inawasumbua na nini? Kwani imelala kwenye mnalala?
Hio banner inakaa hapo mpaka Yesu…sorry Obama arudi.