Sasa watermark ya ukweli ni kitu kama hii hapo chini, hio ingine ya kuweka kenyatalk.com kwa base ni upuuus inafaa kuwachwa with immediate effect. Do something priss, hiyo watermark umeweka kwa kijiji ni bonoko na haileti bidii, bado mbica zetu zina copy paste-iwa. Ni hayo tu kwa sasa.
[ATTACH=full]11087[/ATTACH]
7 Likes
junkie
August 2, 2015, 6:04pm
2
@admin ako na moods siku hizi
[ATTACH=full]11089[/ATTACH]
hivi?
5 Likes
kanono huyo ni bibi yako?
Yea buda, fundishaga akina mon key hii maneno
1 Like
@kush yule mnono kuna KYM alikua president wa VIP ya Klist. Ni wewe?
Bado sijabarikiwa but zile mimi huchapa ni kama hii. Size ni ya laptop.
si utakavuja na hio unono yako
1 Like
Admin ana maringo siku hizi hawezi skiza. Nilisema watermark should be optional, ideally to be used on original pics.
2 Likes
Hii ya kina manki hata sio watermark.
1 Like
system
August 2, 2015, 7:45pm
12
Heard your cries. Give us a week. N we will implement something that you all like
6 Likes
Nilisoma spidi thought umesema admin ako na mods sikuizi
yani lazima watu watete mara kama 50 ndio kitu isemekane itafanywa?!
keep calm we are watching, we can shut it down too
5 Likes
En something else we all like ni Vip.So ata iyo mwangalie
trying to take a mile? goody luck with that…
1 Like