Administrators am calling you out.

Where is the birthday cake ya elder. For the first year I have been in this kijiji . I have enjoyed every moment. Kazi ni kucheka Hadi imefanya ninone juu Niko stress free.
Ile addiction iko kwa kijiji is more than ya hard-drug heroin. No wonder bingwa scortum anawhine atolewee Siberia.
@Meria Mata @Deorro @Mundu Mulosi @old monk @Purple . Tumeni kakitu hata kama ni konyagi kaquota ya nyama nitajisimamia.

Wewe hukupata kenyanlist huko you needed titanium balls

I was there but ilikuwa in its life support machine. After less than 2 months. Ikakufa so sad

nimetumana chapoo

[ATTACH=full]209306[/ATTACH]

Wazi kadeeree.

Sasa kama wewe hunywa tursker kwa kijiko utasaidiwa aje?

Bora ifike kwa tumbo.

@Purple black body white heart tumia Mimi nakitu kwa empesa Mimi iko mahali mbaya. Hata kama ni Indian rupee iko Tu Sawa.

He he, umenikumbusha ile nugu ilinunua maharagwe ikingojea chapo za wenyewe. Hii kijiji huwa na wendawazimu wa ukweli.

Kuteseka ni kwa muda bro. Tuko pamoja. :smiley:

Sis, siku hizi naona unatetea pinkies sana kwa ku ban blues ovyo ovyo

Tuma kakitu mulato.

Purple in mkono birika

Hizo Chapo ni Moto Sana

Ziko fiti lakini zimekauka ka crips.

jatelo kijia giniis nyama vvilla

No way ndio mniibie hii Nokia 3310 revised edition. Wewe nakuogopa Sana Unaweza meja vega 100 unikamue kama nimebleki.