Admins napendekeza kuwa replies zote kutoka threads zinazofanana kuwekwa katika thread moja.

.#Kwa kufanya hivyo itasaidia kuwa na replies nyingi hivyo thread kuwa sustainable.
#Pili kusaidia kutowachanganya washiriki.
_Kwa mfano kunapokuwa na threads nyingi zinazozungumzia picha za utupu basi replies zote zikae sehemu 1 na kuwe na kichwa cha habari kimoja tu.
AU
_Kama threads 10 zinazungumzia budget ya 2018/2019 basi zote ziwekwe katika thread 1.

Asante in advance!

Wewe kaa nani?
A villager is here to be seen not heard.

Mmmmmh! this seems to be a rule.

Endelea kupendekeza, pia sisi twapendwa

Lenga :D:D.

Nasindikiza hii statement na the below mbikcha :D:D:D

[ATTACH=full]176357[/ATTACH]


[SIZE=1]wewe ni jinsia gani[/SIZE] kama KE basi mwaka huu mwishoni nitaweka mpango wa kuja kukuposa
:D:D:D:D:D

Mata yawa, polepole kidogo kaka…hii watu umewaekea handbrake seriously

Hicho kichwa chako si tukiweke kwa thread ya picha za utupu?

OMG…LMAO.

Njoo ukichukue

Ana hamu ya bwana

Watu wa bongo lala kazi yenu hapa ni kupost comments sio kuanza kutoa maoni vile kijiji inatakiwa kuwa.
Tusisumbuane na si tafadhari.

Nimefurahi kukuona ukiwa si stuff member… SHOU!!

umle sumaku kabisa huyu binti wa mombasani!

Umejuaje!!! :):):):slight_smile:

Mumeleta ushoga huku

@full of faith we do merge threads, please point out where you feel two or more threads are on the same issue.

Tabia ya kuunganisha Uzi ilikua inatukera sana kule Misri sio. Ishu bana

Una maanisha urafiki?