Advice needed

Wafanyibiashara, ndogo na kubwa, kujeni kidogo.

Do you do business with your heart, or your mind, despite the prevailing standards in your field?

For example, you sell socks za watoto. Watu wameset prize at 80/ a pair. Item cost ni 30, so profit ni 50. Wazazi wanaka hawana pesa and you really do empathise. Would you go against the grain and reduce the price to 50/, for example? You’re sure utafanya business poa (it may be short or long term, sijui). But at the risk of souring relationships with fellow wafanyibiashara. Especially those who mentored you in the business?

Cartels my friend watakuhangaisha

I will tell you this. My business started on 23rd December and i am so ferking shocked.

Kitu inaingia na 680… guys wanaiuza 2200… mi naset price mahali ni fair, 1100

i dont ferking care, Kenya is a free market. I set at my comfortable level

pole pole everyday i am seeing new customers at my shop

and severally they have told me they like my prices

my nearest competitor saa hii i am getting more customers walking in than them

Hii ndio upuzi ya wasapere Mtu anataka kugonga wateja once and for all. Hajui kesho atawahitaji. Halafu customer wakimove to other alternative wanaanza kulia biz iko chini.
Kuna deal iliniruka juu ya hii ulafi. I was to get 35k nikasema wacha niongezee atleast nipate Ka 70k. Hivyo ndivyo ili bounce. I learned mtaka yote hukosa yote.
Siku hizi deal yoyote siwachi pesa. As long kuna Ka profit na chukua hio kidogo nakula mosmoss nikigonja deal ingine iive.:D:D:D

Correct.