Take care of your family but make sure uko na mancave ya retirement with activities za kujibamba solo.
Mimi na plan kujenga mancave iko kwa wilderness kama huko rumuruti. Kwa keja Nimeweka 50" tv, PS5 na home theater with a wines and spirits na nimepanda jaba kwa backyard.
The rest of the farm ni fanye smallscale farming ya animals na crop. Unakula pension polepole bila hasira.
Bibi akitaka kukaa is upto to her na akikataa ajipange bila kunisumbua nimemtumie doo na watoto wakitaka kuvisit pia hao sitaforce mtu. Alafu Nitafute kamzoga ka kula once in a while kutoa dry spell