Advice

Kama nitagundua mgodi wa dhahabu kwa compound yangu, nitaweka fence kwanza, na mbwa kali, sitaita majirani tuchimbe dhahabu. Ogopa sana yule mtu anakwambia, kuja, invest hapa, the rates are very good. kuja, wekeza hapa, we distribute all profits weekly, kuja, wekeza na sisi, we have already made others millionaires, join us…kuja sign, utanunua ii na tutaimanage on your behalf. we have professionals to do it…ogopa sana

Leta Hekaya, umegongwa ngapi?

Goldenscape Greenhouses or wateva the name is. Mimi huona hiyo advert najua wakenya ni wajinga generally if they fall for such scams.

nimeona watu hardworking senior citizens wakipoteza sweat yao ya miaka mingi kwa miezi kidogo sana, juu ya kudanganyika haraka