Huwezi kusikika pasipo kuipaza sauti yako kama batolomayo angelikaa kimya asingesikika na yesu n kuponywa macho yake..wapo watakaoidharau na kuipuuza sauti yako lakini pia yupo atakayelibeba na kulijali hitaji lako usiyafiche matatizo yako sbb ya walimwengu bali paza saut sababu yupo Mungu
Habari ya asubuhi wadau
Habari ya asubuhi wadau