Morning people, lovely day today.
@pamba hio mvua unasema siielewi, niliona kwa news Jana mwenzenyu hapa jogoo road alichotwa na kamlevi Fulani , ilikaa deliberate alafu kamlevi hakashikwi, akienda kucomplain akapewa transfer mpaka turkana!Hio ni hujuma