After electing.

#1
First of all munajua hawajaingia kwa choo za county na mumeanza kuwatoa makosa,
Sasa ile kitu iko ni kwanza muwapee time na space ndiyo waweze kupata nafasi ya kubreath,
Then after that mutaanza kusema ubaya na uzuri wao.
 

Top