Tukubali Tusikubali lakini huu ndio ukweli kabisa; Wanaume wengi wakimaliza kuwatumia watoto WETU wa kike hawasemagi vile walikuwa na utamu MWINGI.. Matusi na kuaibisha ndio zao.