AGX 404 MC

Hili gari ni la nchi gani?
Nimemsikia IGP akilizungumzia kuwa ni la nchi jirani na ndilo lililomteka MO
Bado siwaelewi polisi hata kidogo!
Maswali ya Lema hayajajibiwa Eti walitambuaje wazungu wenye gari kabla ya kutambua gari kwa CCTV?
Eti tuelewe lipi kuwa kamera zilikuwa zinashindwa kutambua gari wakati linatoka sasa tumeambiwa lilielekea KAWE!! na siyo hapo jirani ofisini.
Eti leo ndio IGP anatoa tamko baada Mambosasa na Bashite kujichanganya!!
Hali ni Tete eti!!
Tutawakataza wasije kufanya upelelezi lakini wenye hela zao na mabenki ya nje lazima yachunguze tutake tusitake!!
Mambo ya MO
Mambo Azory
Mambo Ben Sanane
Mambo ya Lisu
Yote haya yatakuwa nje duniani PWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!! Subirini kidogo

Mkuu awamu hii inatatizo la elimu elimu elimu. Na kwa bahati mbaya akili yao inawatuma watanzania wote hawana elimu kama wao.

Kuongoza watu wajinga ni raha sana kwani unaweza kuwachezea utakavyo! Watanzania wanachekelea kama mazuzu wakati IGP Siro akiwalisha matangopori!

mkuu umeongea vema,wamrudishe tu dude limembumbulika
haingii akilini eti gari limetoka nchi jirani na namba za usajili halisi ,HATA KICHAA HAWEZI KUFANYA HUU UJINGA,
ni mwenda wazimu anayeweza kufanya utekaji kwa kutumia gari lenye NAMBA HALISI,hata kama lingetoka marekani