ahmed

since its Eid let mi give a hekaya about a Muslim friend.

so kuna boy flani wa mtaa arif mbaya anaitwa Abdi. Abdi alikuanga jela akaachiliwa. alidandiwa na story ya kuchezea matha flani karata huko river roadi akahepa na dooh zake. kitu hakuwa anatambua ni ati uyo mathe alikuwa mbang’a. kesho yake alijipata amedandiwa na mambang’a ikabaki amelala ndani mwaka moja. akiwa huko akapatana na Ahmed jamaa flani wa Coast. walianza kuchapiana juu walikuwa na one thing in common wote ni waislamu ila mmoja wao ni msomali na mwingine ni mswahili. Abdi akakuwe beshte na Ahmed. Ahmed akamchapia yeye aliekwa ndani juu ya makosa si yake. design Ahmed alikuwa akiongea ikabaki Abdi ameamini huyu enyewe ni kama alifungwa kimakosa.

Ahmed alikuwanga ni mtu wa kusoma Qurani wakati wote akiwa na kanzu yake ndipo Abdi akamuita askari mmoja akamuuliza mbona huyu jamaa kafungwa bure. huyo mbang’a kitu alimwambia ilibaki Abdi ameshuku sana. mbang’a alimchukua akampeleka ofisi akamfungulia file ya Ahmed. hapo ndo Abdi alijua Ahmed ni shetani mwenyewe kasoro pembe. Ahmed akiwa na maarif wake waliishia kejani kwa msee wakapata wife akiwa na watoi wawili twins, mboch anapika food , huzzy akipiga shower. walikuwanga wamejipin vidungi mbaya sana. walishika hao watoi wakawachapisha kwa ukuta wote wawili wakanyuria (Case no. 1 Murder -Life imprisonment). wakatoa huzzy kwa bafu na kumpeleka bedroom wakiwa na mboch, wakachapa wife na mboch mjulubeng (case no. 2 rape - 20 years). after hapo wakashow huyo huzzy apige mboch mjulubeng. ndo ujue hawa watu ni wagonjwa sana wallifungua huyo mzae, wife na mboch boot bado haijaisha wakashow uyo huzzy afungue wife yake na mboch boot (case no 3 sexual assault -prison sentence ya hii sijui ni miaka ngapi). alafu wakasanya wakajitoa (case no 4 robbery with violence - life imprisonment). makarau waliitwa na Ahmed akadandiwa juu ya kuacha fingerprints hao maarif wake walihepa. Abdi alituchapia iyo story jana after aliachiliwa like 1 week ago.

ni kungori walai.

There are seriously sick people out there.

It’s a sick world out there but I am just wondering if an inmate’s crime file inapelekangwa prison together with the inmate.

Polisi
wamejihami na visu
wakakufa
mti/kuni etc.

of course not. i said it that way to make the story short otherwise sitaki niingie details mingi bure.

Psychos!!

Bila details storo uzushi.Bisha!

Shyt! Wtf?!

where’s the video clip?

Patia Abdi simu

Commital warrant