Aibu Iliyoje?

[ATTACH=full]343088[/ATTACH][ATTACH=full]343087[/ATTACH]

ulikuwa unataka ya made in Sugoi?
Mimi nataka ii ya China

It’s all about one’s choice. Mimi employees walikuwa wananiitisha pesa za mop every two months juu walikuwa wanabuy hizi tucker tucker za china kwa supermarket. Tangu tuanze ku-buy from hawa watu huzungusha locally made, zimeskuma more than 6 months bila kusumbua.

Kudos for supporting locally made goods.

It’s a free market anyway. I am sure we have better ones which are locally made

Some of these products that have local options should be highly taxed to make them more expensive than local products. This will discourage their importation.

https://i.ibb.co/8bKF43t/IMG-20210106-083717.jpg

kwani kuna ngori, after all tuko na deni yao, anyway mimi hutumia matawi kufagia na kuna tunguo twangu tuzee ndo ukua mopper

Mkumbuke kuna wakenya mahali KAZI Yao ni kukimbia China,import then use every trick in the book to subdue local industries so that they create a market/demand for their imported fake goods.some are politicians and their friends.

Takataka wao mbwa Koko ya manispaa

Those tiles are filthy.