Aim global manenos

Aim global wamezidi sasa
[ATTACH=full]170373[/ATTACH]

akaambiwa effidense ya umirrionnaire ni phoroshop

:smiley:

Hizo viatu zake hazijafika 2k ata.

only a fool can beleive that photo

watu wametoka ocha juzi with little to no computer knowledge fall for this shit everyday. after wachanuke wawache there is a new batch ready to be ripped off

hawa jamaa wamekua wengi sana fb na ukituma detail zako wanakuea kwa ile game ya rich boxes urongo tu ndo wao.ju ile box utachagua ndo wanukuekea 0 ama wkundanganye na ka 50 ndo uingie tamaa.hao ni mburukenge wakawaida

[ATTACH=full]170380[/ATTACH]

Wewe ni millionaire na high hill sharpshooter hiyo Photoshop imekwangusha budo

huyu anakaa kerubo or moraa
ameshika steering kama matoke

:smiley:

In most of these scams utapata this MF hapa chini mwenye hajui kufunga mdomo posing with Audis or BMWs.
I once asked with that much money si he can at least go for some surgery to correct hio mdomo and I was blocked immediately…
[ATTACH=full]170402[/ATTACH]

I have a hobby of finding them on FB and shitting on their posts. Wengi huniblock… cheap skates…
[ATTACH=full]170403[/ATTACH]

Kuna cousin yangu mwingine apo, anakunga amesota mbaya but mi hicheki venye anaweka photo online na suti yake ( btw ana suti moja tu) venye aim global imemjenga wah

:D:D:D:D:D

Kuna msee ashawai niapproach kwa lift pale Unga house with some proposal…I think ni victim wa Tiens… ati want to make 6k a day…(why is it always 6K) akanipa biz card imeundwa river road, nikampa yangu nikamshow anicall, me niko sector ya ICT n I charge 2K an hour for onsite support…n I was from some office hio building having done 6hrs troubleshooting some ERP, fully loaded na postdated cheque which I made sure ameona…immediately his sales pitch spiraled down

He he he! Kuwa mpole…

the signature SDA hair cut plus the looks nizahuko kwa akina maraga I swear

It’s the sad thing about cons, yaani bado simu za matope zinauzwa kwa streets

Hehe
But why?