Airtel 4G

I swapped my Airtel 3G line for the 4G line which waa introduced lately and I gotta say Airtel still have a long way to go. First of all their 4G is not stable like that of Safaricom switching between 4G and 3G anyhowly. The second thing ni ati unaeza kuwa on 4G alafu network inapotea tu once ivo. Speeds do vary from time to time. But its still good since it gives you a cheaper alternative to enjoy the 4G network.

Airtel is not a network. They complain juu ya safcom but safcom is always always innovating.
Innovate or die. Airtel somehow live on the complain-and-survive rule.

I thought ni kitu ya maana

Airtel Ni takataka tu. I keep it because it’s my alternate number ya job.

Nilinunua airtel line for my secondary phone last week. Karibu nilie. 3G is so slow unadhani ni 2G ya Safaricom

Kwangu Airtel network iko swafi kabisa. Namumunya unliminet polepole…[ATTACH=full]164271[/ATTACH]

Hebu run a speed test on it. Haiwezi kuwa kila mtu anacomplain na wewe pekee ndio unadaisha iko poa

900 kbps download
350 kbps upload

Nimejaribu network mingi sana. be it airtel orange/telkon. everything. I end up letting the lines expire. I even realised that having a dual sim phone ni kujisumbua bure. I only try to boycott mpesa when i can. kuna watu hunichooocha airtel. nanunua sim. lakini speed joh? nadhani kuna watu wanapenda maisha duni . like they think its a virtue and that somehow it brings progress. i have studied older folk that behave that way. hakuna kitu wako nayo hata hivo.
hawa watu wanasifu airtel ni wale ni heri aclick alafu aweke simu kwa mfuko ataangalia ikiload baadaye juu net ni free, istead abuy data ya maana abrowse comfortably. it is for the same reason people who prefer tiny cars think that the ones with big ones are foolish.

[ATTACH=full]164281[/ATTACH]

Airtel 4g inafika 6Mbps bila vpn. Again i repeat kama unaishi kichakani don’t bother to use airtel wacha sisi watu wa leafy suburbs tutumie

When did kawangware became leafy suburbs!!!

4G ama 3G? hainikalii 4G hii

Wacha nilete ya saf 3G utadelete hii screenshot yako my friend

[ATTACH=full]164307[/ATTACH]bundles imeisha nkichapa upload speed na siezi eka ingine coz im on faiba nlieka tu 30mbs ya kutest… Here is the download speed on safaricom 3g… Double your 4G speed of Airtel in the “City” na hii ni ya saf 3g ya “kichakani”:D:D

siku Safaricom watapunguza bei some providers will close shop

Sufuricom itabaki na huto turembo twao twa kastama kea pekee hata wanisafiche mecho si rudi huko Tena…

Safaricom is expensive but its quality hata faiba haiezi kachanga lane yake…{I have faiba & i can proove saf is better 20 times}, Kama vile watu hujiita mambirrionaire huku ktalk na wanatumia Airtel unashangaa why dont they go 4 the quality things

Telkom serves me well na ngoja kushinda huto tu gari twa promo

mwanaume mzima unaongea kama wamama wa soko??