Airtel Manenos

#31
Janjaruka. Ingia kwa Mbugua upate 8 gb na 300 bob valid for one week. Ama 28 gb na 1k for one month. Lakini lazima simu iwe na LTE ama VoLTE.
Faiba 4G iko fiti btw, Mbugua kweli ametujenga. Simu iko na LTE but nitaendea hio router tu, naskia wanaziuzia apo Mama Ngina Street siku izi. Hotspot hufanya beta ichape haraka.