Aisee Wadau Natafuta Kazi Hata Kufungua Geti

Habari zenu Wakuu. Aisee mwenzenu niko desparate sana, umri unazidi kwenda halafu kazi hakuna. Najua wengi humu tupo kama mimi tunatafuta kazi ila jambo ukiliweka kwa watu wengi ni tofauti na ukikaa nalo mwenyewe. So guys mwenye kusikia kazi yoyote especially Dar coz ndio ninapoishi anishtue basi. So let’s help each other good people.
Nawasilisha.
Thanks.t

Aiseee. Ngoja wenye kazi zao waje.

Weka na level ya elimu,what you can do best,na vitu vingine…

Honestly, nilipostpone masomo yangu in my 2nd year kutokana na kukosa ada. Nilkuwa nachukua Accounting na Finance, What i can do best ni ;-

  1. Sales
  2. Cashier
  3. Supervising
    And other staff like that
    So if anybody find something for me, nitashukuru sana.
    Email: [email protected]
    Phone:0655358922
    Thanks Guys.

Kwenye taasisi ninayofanyia kazi zipo nafasi na walikuwa wanatafuta watu wa aina yako, lakini deadline imekwishapita… Labda ngoja waje Villagers wengine…

Dah aisee! what a bad lucky but thanks anyway

Kila la kheriutapata kazi soon.

I like hopes. Thanks

I like hopes. Thanks Inga

Niswala la muda tu mkuu…

Ubarikiwe sana

Dah ubarikiwe pia wakwetu.

Aminah

Mkuu hiyo smartphone unayomiliki kutujuza habari hii kwamba unataka kazi walau ya ndani ni mtaji tosha!!!

Sure Chief but imechoka sana. watu wananioffer not more than 40k. Amount ambayo siwezi kufanyia jambo lolote but thanks for yor concern.

Chief jiajiri tu, wengine wanafanya udalali wa nyumba, magari n.k. Tena vile visivyouzika kirahisi iwe ndio challenge yako, ni pm nikupe details za jamaa wenye hizo bidhaa, zama za ajira kaka zimepitwa na wakati, ingia mtaani tu…

Naunga mkono hoja or naunga hoja mkono watever the case but Chief jebs mi mwenyew ni muumin mkubwa wa hustle za mtaan coz nafaham namna ambavyo znaanzaga kdogokdogo but later on znabreakthrough but pa1 na hayo kwa sababu sna nguvu ya kuanzia nilihitaj nitafute wakubwa niwatumikie kwanza nipate nguvu then nianze hustle zangu but kumbe kuna hustle zingne ambzo haziitaji uanze na capital yoyot km uliyointroduce apa. thanks much na watu kama sisi tunawahtaji watu wenye mawazo mbadala kama nyie na ndio uzuri wa kuweka jambo kwenye watu litatafutiwa majawabu tu hakuna namna linaweza washnda smart guys wote humu. no way
Nimeku-pm chief
Thanks again