Ajali ya Ndege Ya Mizigo (Korean Air Cargo) December 1999 na Funzo kwa Magufuli.....

Korean Air walikuwa na utaratibu wa kuajiri retired senior military officers kuwa pilots wa shirika lao la ndege. Ukichanganya na tabia ya wanajeshi kuzoea kutoa amri na mila ya Wakorea ya kulazimishwa “kutii wakubwa”, junior pilots/flight enginners hawakutarajiwa kutoa maoni kinzani na ya flight captain. Siku ajali ilipotokea, flight captain (retired Colonel) aliambiwa uwezekano wa pitch attitude instrument yake kutokuwa sahihi. Captain akamwambia flight engineer, “don’t open your mouth until you know what you are talking about”. Matokeo yake ndege ika-roll na kuanguka na kuua crew wote. Ajali hiyo iliwafanya wakorea wabadilishe utaratibu wa kuajiri na mafunzo kwa marubani wake.

Magufuli nae anafanya makosa yanayofanana na marubani hao wazamani wa Korean Air. Ujuaji wake unaliangamiza taifa.

http://aviationknowledge.wikidot.com/asi:korean-air-cargo-flight-8509:bad-attitude

‘‘Kiti kinasogea ukibonyeza hiyo Batani…!!!’’

@Mfiaukweli inaonekana ni mpenzi wa “Air Crash Investigation”…

Kabisa mkuu… You have me found out on that

Balaaa

Ngoja tuone…

Cc: @Mahondaw