Ajira za polisi

Kuna lile tangazo la ajira za polisi zilizotoka, kuna sehem cjawaelewa. Wanataka vijana wa operation Kikwete mujibu wa sheria walipo mtaani au wakujitolea waliopo mtaani?

Wamesitisha hizo ajira aiseeh!! Sijui walitangaza bila kumwambia mzee baba jiwe?

wametangaza kusitisha!!?

Ndio, fungu halitoshi.

wametangaza waap?

Walijikuta wanahitaji watu wengi kuliko idadi ya mwanzo, ndiyo maana wamesitisha…