Akina meria Mata na watu wa pwani ni kubaya

Leo hakuna kuenda Mtwapa ile club iko juu ya petrol station. Itabidi muingie home kabla giza

[MEDIA=twitter]1148138638858960898[/MEDIA]

I wish I could capture one and slaughter it. I hear their meat is very delicious!

Very salty.

Ushaikula?

@Okiya kwani Mtwapa iko Nyali?

hizo zikipatana na katoi kanazunguka ni snack ya jioni

Ndio nashangaa pia mimi. Wewe @Okiya utaacha bhangi kabla ikulipue akili.

@Okiya, achana na mambo ya wapwani… kuna MTU Fulani alimkasirisha @jumabekavu

KWS walete Stephen Irwin wao hapo ahundle hizo vitu. They not dangerous nchi kavu. Kama ni hippo apo ingekuwa shida

Crocodiles are docile on dry land.relax