Alafu kuna hizi odds

Select hapo [ATTACH=full]254463[/ATTACH][ATTACH=full]254464[/ATTACH]

Bado unafanyia gava works (20% withholding tax)

Ni pesa zake.

The 20% wanakata from the initial stake ama winings?

Over 2 Goals Treble for Breakfast

Sichuan Jiuniu v Chengdu Better City
Guangxi Baoyun v Zhejiang Yiwu Mall
Chrudim v Viktoria Zizkov

Pays 2.98

Kwa nini umeweka picha ya dikteta Moi?

From possible win…banae

Usijali utawafanyia usiku uki imbibe meanwhile me ntakua Niki jifanyia kazi na ntakua nakuona Uki toa uwazimu uki ambia akina sheeqow mqutest vile wanakupatia joy kushinda Sabina but ikifika morning narushiwa 20% yangu yenye umenyanganywa. Anyway vile @hakimoto Amekuambia

Hamua bet365, bet22 hakuna withholding tax

I will check it out

@Dasani @123tokambio na wawekezaji wenzangu Kama @Tiger Bone @hakimoto hamtaki kuni pigia makofi iyo post ilikua odd ya 100 in total and you were to select singles I believe ni mbili zimeruka (2) but moja Inacheza sai

Hangoo, sikuwa nimeona hizo predictions… Leta za 21:00 kama uko nazo…

huwezi pata 100 odds. sio kwa ubaya. nimekuja na nuksi tu

Ask my bookies

Wacha niangalie games kwanza. Skuizi nime specialize na league ndogo za uingereza. I have a sort of fantasy league that I follow with my sorted teams and they don’t disappoint

Late games zilikua izi

[ATTACH=full]254557[/ATTACH]
Zilikua odds za ku recover the 20% umeffi

Hii 22bet wananionyesha mambo. Leo yote withdrawal haifanyi

Waaah nakesho naplan kutoa. Si ulink credit card uweke huko alafu ATM

Hio bet365 lazima uwe verified na PO box… wana ufala sana

Then ukiwin big kama $1000 lazima uwatumie bank statements