Alafu kuna this game today

[ATTACH=full]244488[/ATTACH]

Bado Ni asubuhi banae…

Sai ni almost ten na MA hustler Kama sisi tushamaliza shugli za mchana sasa nikucheza na simu tu. Ata kuna kinywaji illicit nime ambiwa niende tumezee pale kwa mwikali pale pahip layin

kindly explain to me like a child…what…this means?

83’ 2-1 hii bet ishakunywa Maji @Duke of Busia

Makosa

Away win with less than 3 goals… Lakini naona ilikua ndoto

Sasa angalia iyo aggregate [ATTACH=full]244658[/ATTACH]

wats for today

sjachungulia