Alfajiri magufuli edishen

[ATTACH=full]85620[/ATTACH] Kiamsha. Nimepiga gym ni afya tuu!! Hapa hamna matumbo ama motura chakula cha mbwa koko. Ukiwa na zogo au lombo leta sasa alfajiri nipo freshi kama prince of bel air.

Nimeanza mazoezi ya kunyanyua uzito kapchaka kapchaka. Warembo wakenia mpo

Bingwa unasumbua

monologue detected …MEFFI

RWNBP.,…NEFFA

@Mtanzania Magufulichieth = @Atwoli

↑

Nakumbuka mara ya kwanza kupigishwa chuma…mikono ilikua hainyooki kabisa!! Nikinyoosha ina uma daah. Sasa nakwambia ntakuekelea kilo ishirini kwa kidevu chako. Chunga mkuu

Pumbavu. Twajua bingwa ni wewe.

1 Like

apan tambua…

3 Likes

Soda for breakfast? Peasant!
Hapa Kenya waume wetu hula 5-kosi breakfast

13 Likes

Mtanzania Magufuli = @WuTang

Bingwa brare chieth What kind of breakfast is that shenzi wewe

Hayo matunda yamekatwa na shoka, doh!

Brare fwekin

[ATTACH=full]85624[/ATTACH] noisemakers hawajai isha huku kwani?

2 Likes

UPUS.

You don’t look like you can lift a 10 kg bag of fruits if your life depended on it?

Heshimu matumbo, meffi! Alafu, how on God’s green earth do somebody take soda for breakfast!! Bingwa utakufa na tutalaumu ukedi sababu utakuwa umebaki mifupa tupu! Senji!

2 Likes

You look immuno suppressed

tafadhali hatutaki kujua vile huwa unafirwa… rudi huko jamiiforums ukawaelezee mashoga wenzako

1 Like

Jamaa anachukiwa huyu humu!!