Polite notice: kama wewe ni mtu wa betting usiwai bet league za S.America especially Brazil. Those guys fix matches..ghasia takataka wao. Nimeweka multi bet , was to win 450€ after staking 2€. Nika weka over 2.5 zote. Team zote zimeingiana except the last one ati naona 1-0. Sasa izo ndio gani ...na ukiangalia previous meetings of the 2 clubs zote zilikuwa over 2.5..end of rant.
Ok proceed