Ali Roba

sani

Village Sponsor
#3
guys kuweni serious. Intelligence briefs ni blog ilianzishwa 2013 Uhuru akiingia kwa power. Mwenye anarun io analipwa na Ministry ya Interior, Office of the President. At one time alikuwa chini ya Dennis Itumbi. Wao hutafuta info online na breaking news, then wanaedit wanapost.
Post zao zote huwa one hour after zimekua breaking news kwa media zengine.
Propaganda ya upuzi.
Never take them serious.
 
Top