Alikuwa ameenda exile eastlando but wembe ni ule ule

Hails from Kibra number nane. After kuchafua base akahepea eastlando exile but badala ya kuchill aliendelea na maovu
[ATTACH=full]92275[/ATTACH]
[ATTACH=full]92276[/ATTACH]
[ATTACH=full]92277[/ATTACH]
The gun though:D

Shait! Wangemwachia ndom kwa mfuko

Halafu boy alikuwa anashinda na gum boots

To hide the gun I guess

is it me au the common denominator ya hawa majangili ni fangi?

Jamaa anakaa mashida mingi,kwani alikua anachukulia akina nani ??masufferer wenzake

Common aje n this is the only photo with it?

ni kama hakuwa amefika wa kucheza ligi soo…

Exile mtu huenda place atleast 300kms away na unacheza chini, hawa vijana ni kama wanadai tu kifo, it is as if they have no reason to live.

[ATTACH=full]92279[/ATTACH]
I could be wrong lakini probability that this is fangi being smoked is very high

Could they be mixing it with other things? Ju ile mi huvuta hanionyeshangi hizi vitu

100%correct.

iyo avatar yako si inafanana na yeye

Lakini sioni ukiwa tofauti sana nawao in some aspects kama irrationality

Hao maboy huenda practice ya kushoot wapi?

Na hiyo gun ni type gani looks homemade

Acha ni lie low kwa hii thread…

they are giving fangi a bad name au?

Asiyefunzwa na mamaye,atafunzwa na ulimwengu.aliyejifunza peke yake anajua risasi sio dengu.

na akili ndogo. These clowns anika themselves live live pale mukuru kwa nani