Huyu Alpha Male amevumilia sana hii kipigo ya Kunguru
[ATTACH=full]229463[/ATTACH]
Wewe wacha kutajataja jina ya ma ALPHA MALE ,ovyo ovyo ,na upuss ya ma beta male
DING DING DING Ngumi ya kizee And correction. Ni alpha female vs slay king:D:D:D:D
Not this again chief
Huyu hapana alpha male lakini ana akili.
in such scenenarios uyo dem ata anaeza kungoa meno but all will be calm,but wewe jaribu umchune tu maskio,utaitwa muuaji na wamama wapige nduru sana.so mtu hujifanya nongwe tu
Irresponsible woman cjui kama atapata bwana wapi
Iko jamaa pipi alimrushia slap akashika mkono yake before impact.
With his free hand he vented his rage by punching a hole through the top of the fridge.
Huyo mwanamuke karibu azirai.
All is well until the ninja bares his fangs. From then on, the common comment would be how wanaume wamekuwa wanyama. I will not be surprised if the lady was found dead in the morning. Ukiona mwanaume amenyamaza hivyo baada ya kufanyiwa unyama, ogopa sana. Unaweza dhania ni paka kumbe ni simba amenyeshewa.
Mimi ningepiga Huyo dame no lie.
Angeendelea na vita… angeporwa simu wallet etc by spectator thieves ( probably in cohort with the lady)
boss this video is much older than your father…bafff…!
Hii tuliona before Kibaki akuwe president
:meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi:
Nilikwambia umee fudhii kwanza,wewe bado ni mtoto
Actually kama Niko na Biro kwa mfuko the chic is dead meat
Coz am a stabber. Kuna boy ashawai nichokoza nikatoa ile kifuniko ya biç Biro pen nikaweka ndani ya mkono kama knuckle spikes
Needless to say jamaa alitoka hapo bloodied. Mimi nikatoka as clean as a whistle.
He was aiming for my cheeks with hooks and not my nose with jabs/ straights
Mimi I was aiming for the lips and jaw
Alafu akanikamata dead lock coz he was fatter than me. Nikamkula headbutt akiwa unaware.
There is nothing I won’t do to win. Its in my blood. I cheat, I lie, I steal. Anything to win at all costa
Yada yada
In greek they say “Kiguoya kiainukiire nyina mucii gikigima”
watch boxing gaylord
jabs and doghing are more important than energy cosuming hooks
not everyone here ni mungiki so speak english tuelewe