Alshabab Vs ISIS

T.Vercetti

Village Sponsor
#4
Hizo ghasia zimalizane watu wapumue

Unajua terrorism ni kama kufungua NGO.

Pesa zinaingia tu. Kazi yako ni gym, kuinua chuma na kudinya kidnapped virgins. Na,tena ujue you are like a president. Everyone calls you sir na saa hizo hukufukisha hata class 3.

The guys you went to school with are struggling on 70k salary while you you receive millions of dollars from Qatar and Obama.

Na tena ujue Somalia is a very beautiful country. Lots of fresh water and nice beaches.

Isis is looking at shabaab and thinking hizi nugu zimelalia maskio sana.
 

T.Vercetti

Village Sponsor
#5
Ukiona biashara Nigerian na Cameroonian wameingia full force jua ile pesa iko hapo sio mchezo.

Boko haram stopped stealing oil and focused on terrorism because of the money in terrorism. Ukitumiwa $1 million every week you can even afford to have 50 wives.

Hakuna tofauti ya Isis au Shabab na U.S Italian Mafia, Russian mafia, Mungiki, yakuza , Chinese triad, Sinaloa cartel, Joseph Kony LRA all these boys do the same job. Big money fast money.
 
Top